Maumivu chini ya ufidhi

Maumivu chini ya ufidhi

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Jamani, yapata siku 5 nasumbuliwa na maumivu ya ufidhi wa chini upande wa kulia
So sijajua tatizo ni nini au inasababishwa na kitu gani.. But kwenye usafi wa kinywa nipo vizuri sana nasafisha meno na kinywa zaidi ya Mara moja kwa siku.
So msaada unahitajika kwa ufafanuzi wa hili jambo..
 
Back
Top Bottom