Hello bandugu. Naomba kupata msaada wa kitaalam. Nimekua nikisumbuliwa na maumivi katika unyayo wa mguu wangu wa kushoto. Ninapotembea na kukanyaga sehemu yenye bonde ninapatwa na maumivu nisiyoyaelewa. Hata kama nikikandamiza kwa mkono kwenye unyayo wa mguu huo, katikati kabisa nahisi maumivu. Sijajua tatizo ni nn nimeona nilifikishe kwenu kwa msaada zaidi. Asanteni .....