Heshima zenu wakuu, nina hili tatzo linanichanganya sana. Maana huwa napata maumivu katikat ya kifua na hii hutokea pale tu ninapokuwa nimefanya kazi nzito kidogo, Je nini linaweza kuwa tatizo hapa.
Nikishapumzika maumivu haya hupotea na nakuwa poa kabisa,