Maumivu kwenye kifua upande wa kushoto

Maumivu kwenye kifua upande wa kushoto

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,238
Hii hali imenianza Jana sasa sijui ntakua na shida gani, nikikaa na nikilala ndo nasikia hayo maumivu. Mnisaidie nateseka sana!
 
Pole sana Mkuu.

NENDA HOSPITAL KWA UCHUNGUZI ZAIDI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hi hall imenianza Jana sasa sijui ntakua na shida gani..nikikaa na nikilala ndo nasikia hayo maumivu..mnisaidie nateseka sana
Check blood pressure haraka sana usije ukapata matatizo kama heart attack au stroke kushoto mwa kifua unakaa moyo so wahi hospitali haraka
 
Hi hall imenianza Jana sasa sijui ntakua na shida gani..nikikaa na nikilala ndo nasikia hayo maumivu..mnisaidie nateseka sana
Unaleta tatizo kama hili hapa ni kujitakia mashaka tu. Huwezi kupata usaidizi mzuri kwa sababu za maumivu kama hayo ziko nyingi, na nyingine ni za hatari, zinahitaji matibabu haraka sana. Yaani ni medical emergency. Hivyo nakushauri kamwone dr...
 
Back
Top Bottom