Habari za asubuhi waheshimiwa wa Jamii Forums,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nina tatizo la maumivu kwenye goti la mguu wa kulia upande wa nje na hii ilitokana na kuruka umbali mrefu nikiwa mazoezini may 2015 , ila kuna dawa nilitumia maumivu yakaisha ila jana kipindi nipo mazoezini nafanya mazoezi pameanza tena kuuma , Je nitumie dawa gani ili nipone haraka?