M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Feb 6, 2013 #1 Msaada tafadhali Ninaumwa upande wa kushoto kwenye mbavu, mguu wa kushoto nao unauma kama hauko poa poa hivi lakini zaidi ni kwenye eneo la mbavu za kushoto. Tafadhali msaada Mokoyo
Msaada tafadhali Ninaumwa upande wa kushoto kwenye mbavu, mguu wa kushoto nao unauma kama hauko poa poa hivi lakini zaidi ni kwenye eneo la mbavu za kushoto. Tafadhali msaada Mokoyo
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 Feb 6, 2013 #2 Maelezo na maumivu yako hayawezi kunyambuliwa hapa , wahi hospitali iliyo karibu nawe.
Dr-Rick Member Joined Feb 15, 2013 Posts 48 Reaction score 18 Feb 16, 2013 #3 Unahisi maumivu ya namna gan kuchoma au kuwaka? Je mkono wa kushoto hauumi au kusikia maumivu kwenye vidole? Je unapotenza nguvu wakat mwingine?
Unahisi maumivu ya namna gan kuchoma au kuwaka? Je mkono wa kushoto hauumi au kusikia maumivu kwenye vidole? Je unapotenza nguvu wakat mwingine?