Maumivu kwenye mbavu na mguu upande wa kushoto

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
15,145
Reaction score
5,566
Msaada tafadhali

Ninaumwa upande wa kushoto kwenye mbavu, mguu wa kushoto nao unauma kama hauko poa poa hivi lakini zaidi ni kwenye eneo la mbavu za kushoto.

Tafadhali msaada

Mokoyo
 
Maelezo na maumivu yako hayawezi kunyambuliwa hapa , wahi hospitali iliyo karibu nawe.
 
Unahisi maumivu ya namna gan kuchoma au kuwaka? Je mkono wa kushoto hauumi au kusikia maumivu kwenye vidole? Je unapotenza nguvu wakat mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…