Maumivu kwenye mkono unapokunjiwa kwa ndani

Maumivu kwenye mkono unapokunjiwa kwa ndani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nin sharp pain kwenye sehemu mkono unapukunjiwa kwa ndani. Penye vein. Ni tatizo gani?

upload_2017-11-6_8-3-49.png
 
Hii inaweza kuwa ni veneous thrombosis .damu kuganda ndani ya mishipa
 
Hii inaweza kuwa ni veneous thrombosis .damu kuganda ndani ya mishipa
asant kwa response yako. Nadhani kuna haja ya kuwaona matabibu. I thought that could be dealt with at home, but seems I need more consultation!
 
Unaweza tumia heparin sindano au wafarini
asante ndugu. Inaonekana kuna tatizo. nilidhani labda ni mishipa kushtuka lkn inaonekana kuna tatizo kubwa. kwa nini damu ignde? tatizo!
 
Back
Top Bottom