Maumivu kwenye pengo na kwenye fidhi pale ninapotafuna chakula, Daktari wa meno msaada tafadhali

Kikwata

Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
54
Reaction score
62
Nilipata tatizo la jino langu kutoboka, kiasi kwamba nilishauriwa na daktari wa meno kung'oa, baada ya daktari kung'oa jino pamekuwa na maumivu kwenye pengo na kwenye fidhi karibu na pengo pale ninapotafuna chakula,

Ingawa kama sitafuni kitu chochote sipati maumivu yoyote, mwanzo nilifikiri ni mamivu ya kawaida baada ya kung'oa jino, lakini hii ni siku ya nne nahisi maumivu kwenye fidhi pembeni na pengo kila napo tafuna chakula msaada tafadhali, nipo sehemu ambayo siwezi kupata huduma ya meno kwa sasa.
 
Kwanini unatafunia sehemu yenye pengo ? Pangekuwa pameshapona lakini unapatonesha mara kwa mara !
Sitafunii sehemu yenye pengo, ila unapotafuna chakula kinagusa ufidhi karibu na sehemu yenye pengo na kusababisha maumivu
 

Nunua hydrogen peroxide 3% mouth wash sukutua(raise sio ufanye dawa ya meno) kwa siku 3 asubui na jion Usikisumbue kidonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…