Baba Loveness
Member
- Sep 24, 2014
- 6
- 69
Akae vizuri na mewata aisei..!Habari za wakati huu wapenzi wa jf.. Naombeni ushauri wenu cz nina demu wangu (mpenzi wangu wa kike) amekuwa akipata maumivu kwenye ziwa lake la upande wa kulia na ameenda hospitali kufanyiwa vipimo zaidi ya mara mbili na madaktari hawaoni tatizo Naombeni mnishauri hili kitakuwa tatizo gani au nifanyaje kukabiliana na maumivu hayo
Hapo red, sio kila hospitali inaweza kubainisha matatizo ya kansa. Hebu nenda hospitali zenye hadhi hiyo... kama uko Dar hebu mkimbize mara moja hapo Ocean Road hospital kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya... (Hii haimaanishi nimethibitisha kuwa ana kansa)Habari za wakati huu wapenzi wa jf.. Naombeni ushauri wenu cz nina demu wangu (mpenzi wangu wa kike) amekuwa akipata maumivu kwenye ziwa lake la upande wa kulia na ameenda hospitali kufanyiwa vipimo zaidi ya mara mbili na madaktari hawaoni tatizo Naombeni mnishauri hili kitakuwa tatizo gani au nifanyaje kukabiliana na maumivu hayo
Kansa huwa haina maumivu initially. Uvimbe unakuwa hauna maumivu. Sasa kama kuna maumivu????? Stand to be correctedHapo red, sio kila hospitali inaweza kubainisha matatizo ya kansa. Hebu nenda hospitali zenye hadhi hiyo... kama uko Dar hebu mkimbize mara moja hapo Ocean Road hospital kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya... (Hii haimaanishi nimethibitisha kuwa ana kansa)
Ndo maana nimemshauri aende kwa wataalam mkuu...Kansa huwa haina maumivu initially. Uvimbe unakuwa hauna maumivu. Sasa kama kuna maumivu????? Stand to be corrected
Habari za wakati huu wapenzi wa JF,
Naombeni ushauri wenu sababu nina msichana wangu (mpenzi wangu wa kike) amekuwa akipata maumivu kwenye ziwa lake la upande wa kulia na ameenda hospitali kufanyiwa vipimo zaidi ya mara mbili na madaktari hawaoni tatizo.
Naombeni mnishauri hili kitakuwa tatizo gani au nifanyaje kukabiliana na maumivu hayo.