Hi kwa dadaz na kakaz.
Maumivu kwenye unyayo hasa ninapokanyaga mguu.
yameanza kama wiki mbili sasa hasa baada ya kukaa muda mrefu au nikitoka kulala (ninapoamka)
Naomba kujuzwa na wataalam ,NINI SABABU , DAWA YAKE na NAMNA YA KUEPUKA.
Nawatakia kazi njema.