Maumivu kwenye uume

MPEPE

Senior Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
155
Reaction score
65
Maumivu kwenye njia ya mkojo hasahasa wakati wa kujamii na muwasho kwenye pumbu.tatizo ni nini na nifanyeje? Umri wangu ni 24yrz na jinsia ni ME
 
Jf bana ushasema muwasho kwenye pumbu,afu unasema tena jinsia ni ME lol!kaoge maji ya baharini inawezekana una fungusi
 
Haya bana,shukrani kwa ushauri wako courtesy
 
Inawezekana ukawa na magonjwa ya zinaa, wahi hospitalini doctor ndie atakaekueleza kwa uhakika juu ya tatizo lako. na kama una mpenzi nenda nae ili mkapimwe wote , maana magonjwa ya zinaa kwa wanawake huchelewa sana kujitokeza. pole.
 
Tafuta dawa moja inaitwa azwork hii ninoma kwa tatizo kama lako naamini itakusaidia
 
Mkuu dawa ya miwasho nimeshatowa ipo umu embu tafuta BEE POLLEN SOAP,BEE POLLEN SAVON,hzo kiboko ya miwasho unaweza ni pm hpa 0773043764
 
Kwanza umewowa au unajamiana na wale madada powa? Kacheki mkojo utakuwa umeambukizwa UTI
 
Nenda hospital achana na longo longo za humu jf
 
Tedo salute,maombi ni muhimu maana dushelele linahitaji utulivu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…