Maumivu kwenye vidole na miguuni

Maumivu kwenye vidole na miguuni

mamkindi

Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
61
Reaction score
5
Huwa napata maumivu kwenye vidole mikononi na miguuni na wakati mwingine vinakuwa na joto kali sana, Na hii huwa inatokea nikikaribia bleed. Naomba ushauri wenu au ni matibabu gani nipate
 
Back
Top Bottom