Maumivu makal wakat wa kutoa shahawa! Msaada

Meme.com

Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
23
Reaction score
0
Huwa ninapata maumivu makal sana wakat wa tendo la ndoa pale ninapotoa shahawa au hata ninapopata ndoto pevu(wet dreams) pia ninapata maumivu makal sana chini ya kitovu na wakat mwngne 2mbo hujaa na kunifanya nijambe sana! Pia nakojoa mara kwa mara napia napata maumivu wakat wa kukojoa! Naomba msaada daktari.
 
inaweza kuwa ni ngiri (hernia) kwani dalili ulizotaja zinaendana na tatizo lako.
 
Ni dalili za UTI(urinary tract infection). Nenda kapate tiba
 
Asanten! Je kuna madhara yoyote ya matatizo hayo na how long it take kuwa worse problem?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…