Maumivu makali kwenye ulimi

Maumivu makali kwenye ulimi

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.

Nina siku ya nne sasa.
 
Pole sana.

Inawezekana ukawa na upungufu wa virutubisho fulani au maambukizi kwenye kinywa kwa hiyo ni muhimu ukafika hospitalini ukaonane na daktari ili akufanyie uchunguzi na upatiwe matibabu sahihi.

Kila la kheri.
 
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.

Nina siku ya nne sasa.
Siku zote sehemu sahihi ya mtu anayeumwa ni hospital. Hapa unaulizia watu hawawezi kujua chanzo bila kufanya diagnosis kwa kuangalia na pia kuchukuwa vipimo. Kuna hatari ya kushauriwa vibaya na ukaongeza tatizo. Kuna magonjwa serious huwa yanaanza na dalili ndogo kama hizi na usiwapowahi hospital mambo yakawa mabaya sana.
 
Nsaidie nikanunue dawa gani mkuu?
Dude, I'm not a doctor, but that could potentially be related to a sexually transmitted infection (STIs) include Herpes Simplex Virus (HSV), Syphilis, other bacterial infections, nenda hospital kwa uwakika zaidi.
 
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.

Nina siku ya nne sasa.
Samahani lakini, hivi una tabia ya kulamba mikundu au sehemu zingine za siri za watu?
 
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.

Nina siku ya nne sasa.

Tazama rangi yake kisha linganisha na 👇

1739502633826.png
 
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.

Nina siku ya nne sasa.
Unatutishia mkuu, unalambaga mikundu ya wenzio ama, maana haya ni madhara yatokanayo na hiyo tabia.
 
Jaribu utomvu wa mti unaitwa mmbono .Ila utasema yote ( unauma balaa)
 
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.

Nina siku ya nne sasa.
Acha tabia ya kunyonya nyuchi, haya weka picha tuone tukushauri dawa gani ukanunue
 
Back
Top Bottom