Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.
Nina siku ya nne sasa.
Sio sana..kuweka na kutoaUlizama👉🏽🍑???
Ulizama lakini?Sio sana..kuweka na kutoa
Nsaidie nikanunue dawa gani mkuu?Ulizama lakini?
Siku zote sehemu sahihi ya mtu anayeumwa ni hospital. Hapa unaulizia watu hawawezi kujua chanzo bila kufanya diagnosis kwa kuangalia na pia kuchukuwa vipimo. Kuna hatari ya kushauriwa vibaya na ukaongeza tatizo. Kuna magonjwa serious huwa yanaanza na dalili ndogo kama hizi na usiwapowahi hospital mambo yakawa mabaya sana.Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.
Nina siku ya nne sasa.
Dude, I'm not a doctor, but that could potentially be related to a sexually transmitted infection (STIs) include Herpes Simplex Virus (HSV), Syphilis, other bacterial infections, nenda hospital kwa uwakika zaidi.Nsaidie nikanunue dawa gani mkuu?
Samahani lakini, hivi una tabia ya kulamba mikundu au sehemu zingine za siri za watu?Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.
Nina siku ya nne sasa.
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.
Nina siku ya nne sasa.
Unatutishia mkuu, unalambaga mikundu ya wenzio ama, maana haya ni madhara yatokanayo na hiyo tabia.Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.
Nina siku ya nne sasa.
Acha tabia ya kunyonya nyuchi, haya weka picha tuone tukushauri dawa gani ukanunueWakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins.
Ulimi unauma kama umekatwa na kiwembe hasa ni kila kitu cha moto.
Nina siku ya nne sasa.