Maumivu makali na kutoka damu nyingi wakati wa hedhi

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Habari zenu wana JF...
Mpenzi wangu anasumbuliwa na maumivu makali wakati wa hedhi...
Yaani akiingia kwa hedhi hatulali,napata shida sana katika hili...
Pia tatizo lingine ni kwamba anatoa damu nyingi sana,hadi naogopa..!
Msaada wenu tafadhali wanajukwaa..!
 
Ni kawaida tu...... ila ni vyema mkaenda hospital akachekiwe kama ni normal au abnormal. Watamshauri
 
Mcheki Millen Magese nafikiri anatoa elimu na ufahamu kuhusu hiyo ishu kila siku
 
Hilo ni chango, mara nyingi ni mpaka binti ajifungue ndio tatizo huisha
Kwasasa akianza bleed mshauri atafune kitunguu saumu kitamsaidia
 
Nashauri pia ale ndizi mbivu na maji ya moto kama kinywaji akpata nafasi.
 
Mmm mkuu pole mi sina la kukushauri huko bado sijuagi kitu!!!
 
Chango la kizazi ndilo linalo msumbuwa nione mimi nipate kumtibia apate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…