Maumivu makali pembeni ya goti husababishwa na nini?

Maumivu makali pembeni ya goti husababishwa na nini?

G45

Senior Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
163
Reaction score
94
Wasalaaam.Mwanaume umri miaka 34 tatizo langu ni maumivu makali pembeni ya goti (sio goti zima)la mguu wa kushoto hasa kipindi cha baridi(Nipo arusha) ndio napata Haya maumivu Mara nyingi.Hi ni dalili ya ugonjwa gani?Tiba!taadhari!
 
Back
Top Bottom