G45 Senior Member Joined Apr 21, 2016 Posts 163 Reaction score 94 May 2, 2018 #1 Wasalaaam.Mwanaume umri miaka 34 tatizo langu ni maumivu makali pembeni ya goti (sio goti zima)la mguu wa kushoto hasa kipindi cha baridi(Nipo arusha) ndio napata Haya maumivu Mara nyingi.Hi ni dalili ya ugonjwa gani?Tiba!taadhari!
Wasalaaam.Mwanaume umri miaka 34 tatizo langu ni maumivu makali pembeni ya goti (sio goti zima)la mguu wa kushoto hasa kipindi cha baridi(Nipo arusha) ndio napata Haya maumivu Mara nyingi.Hi ni dalili ya ugonjwa gani?Tiba!taadhari!
Reginald L. Ishala JF-Expert Member Joined Jun 18, 2011 Posts 3,810 Reaction score 6,789 May 2, 2018 #2 Jongo?