wakuu nawasalimu,nina sumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye korodani zote haswa la kulia na sehemu yote inayozunguka uume baada ya kudo! Nimehudhuria hospital na kupima magonjwa yote ya zinaa nipo vizuri,tatizo hilo limeanza miaka mitatu iliyopita inapelekea nnakosa kabisa hamu ya hilo tendo na kuleta ugonzi na mchumba wangu! Je hili ni tatizo gani? Kuna tiba yake? Nawakilisha wakuu!!
Si hivyo mkuu! Hata ka sijadoo jogoo akiwika tu maumivu yanafuata mkuu!tatizo utakuwa unanyonywa sana hiyo uliyotaja sijui nini kabla ya hiyo kudo....punguza makeke kabla ya kazi...we angalia kitu kiko mchongoma paka mate twendekazi ..mbwembwe hizo ndo zinawaletea side effect mara sijui koro inauma ,....aaagh vijana bana
Nipo arusha mkuu! Nimehudhuria kwa specialist wa magonjwa ya uzazi kanipa dawa mara nne hivi bila any relief mkuu.tafuta daktari wa hivyo viungo vya uzazi, kuna mmoja anaitwa kapona yupo muhimbili na tumaini kama upo dar
sometimes ni mirija, torsion nk
Asante kaka,ntajaribu mkuu lakini huwa sikawii sana mkuu!HUWA INATOKEA IWAPO KITU KIMEENDA WINGA KWA MUDA MREFU BILA KUCHOMEKWA KUNAKO, NA KIKISHA CHOMEKWA MAUMIVU HUBAKIA KTK KENDE PAMOJA NA MTALIMBO baada ya tendo. USIRUHUSU MTALIMBO USIMAME KWA MUDA MREFU. NA IWAPO HUWA UNATUMIA MUDA MWINGI KUMUANDAA MWENZIO BASI WAKATI WA KUMUANDAA MWENZA UNATAKIWA UZIPOTEZEe NYEGE, KWA KUWA WANAUME HISIA zetu ziko karibu sana. jitahidi kupotezea mpaka ukishamwona mwenza yuko tayari kwa tendo ndio nawe urudishe hisia zako mchezoni kaka upo?
Inawezelana ktk umri fulani ulijichua sana ikapelekea mishipa kupata dhoruba au unachango la kiume yaani ngiri onana na daktari bingwa atakusaidia ila umueleze ukweli kama ulijichua ni kwa muda gani.