M mtoto wa maskini JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 1,152 Reaction score 637 Jan 2, 2016 #1 Wana jamii heri ya mwaka mpya, inakuaje mtu anapata maumivu makali sana siku za hedhi hata baada ya kumaliza siku zake?
Wana jamii heri ya mwaka mpya, inakuaje mtu anapata maumivu makali sana siku za hedhi hata baada ya kumaliza siku zake?
Muganyizi Rusabi Member Joined Nov 26, 2015 Posts 80 Reaction score 3 Jan 2, 2016 #2 Dawa zilizo tokana na mimea zipo
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Jan 2, 2016 #3 Kama hajawahi pata mtoto ni kawaida kwa baadhi ya wasichana/wanawake, au kapata mtoto na amekaa muda mrefu pasipo kuconceive tena
Kama hajawahi pata mtoto ni kawaida kwa baadhi ya wasichana/wanawake, au kapata mtoto na amekaa muda mrefu pasipo kuconceive tena
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jan 3, 2016 #4 Ni kawaida hiyo unaweza kupunguza maumivu kwa kuweka maji ya moto moto kwenye chupa ya plastic (au ile mipira ya kukandia) unakanda kanda tumbo, au massage ya tumbo pia.....inasaidia kupunguza maumivu Last edited: Jan 3, 2016
Ni kawaida hiyo unaweza kupunguza maumivu kwa kuweka maji ya moto moto kwenye chupa ya plastic (au ile mipira ya kukandia) unakanda kanda tumbo, au massage ya tumbo pia.....inasaidia kupunguza maumivu
mkono wa nyoka JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 334 Reaction score 54 Jan 3, 2016 #5 ushaul mzur kutoka kwa @Evelyn Salt