Maumivu makali wakati wa kwenda haja ndogo

Joined
Feb 22, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Hili ni tatizo gani jamani wana JF?kupata maumivu makali wakati wa kwenda haja ndogo na baada ya kumaliza,wakati mwingine najisikia kwenda haja ndogo lakini naambulia maumivu makali tu.
 
Hili ni tatizo gani jamani wana JF?kupata maumivu makali wakati wa kwenda haja ndogo na baada ya kumaliza,wakati mwingine najisikia kwenda haja ndogo lakini naambulia maumivu makali tu.

Mwenye UTAALAMU naomba atoe USHAURI kwa ndugu huyu. Rafiki yangu DR. Kingwangwalah, tafadhali SAIDIA!
 
Meanwhile tunakushauri uende kwa hospital kupata vipimo

1. Unaona damu wakati wa/ baada ya kukojoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…