bwanafundi
Member
- Jan 13, 2011
- 17
- 1
Kabla ya kukupa Ushauri wa kutumia Dawa itabidi uende Hospitali kubwa kwa hapo ulipo unapoishi ukapige Picha ya XRAY ili tupate kujuwa una Matatizo gani ndipo hapo tuweze kutowa Dawa kamili. Kama upo Dares-Salaam nakushauri uende hospitali ya Rufaa ya Muhimbili kawaoneJamani naugua kiuno,kiuno changu kinauma sana,haja kubwa ni kavu mno,kuna wakati hata miguu na makalio yanashika ganzi.na siku ninayofanikiwa kupata haja kubwa korodani zangu huwa zinauma baada ya kwenda haja kubwa.maelezo yangu ndiyo hayo.naomba nielekezwe dawa na daktari anaejua kutibia gonjwa la kiuno.
Ni muhim sana u consult dr. lakin pia ni muhim ubadilishe diety yako kwa kutumia sana rougheges na maji kwa wingi ili ulainishe haja kubwa, kwan persistence ya choo ngumu inaweza sababisha HAEMORRHOIDSnimepimwa mkojo na baada ya matokeo ya kipimo daktari kanipa vidonge septrin na panadol na baada ya kunywa dawa hizo ikawa ndio nimezidisha maumivu ya kiuno,naomba nielekezwe dawa ya uhakika au mganga wa uhakika ili nisihangaike ovyo kwenye mahospitali na kutupa pesa nyingi bila ya kupona.nisaidieni.