Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Nov 28, 2017 #1 Wanabodi,nimepata maumivu makali ya kiuno juzi kuamkia jana,nimemez dawa ya maumivi,maumivu hayajaisha. Msaada wenu nauhitaji
Wanabodi,nimepata maumivu makali ya kiuno juzi kuamkia jana,nimemez dawa ya maumivi,maumivu hayajaisha. Msaada wenu nauhitaji
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 11,769 Reaction score 16,799 Nov 28, 2017 #2 Nenda hospitalini mkuu haya mambo ya kumeza dawa bila ya kumuona daktari ni hatari sana
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Nov 28, 2017 Thread starter #3 Hussein Melkiory said: Nenda hospitalini mkuu haya mambo ya kumeza dawa bila ya kumuona daktari ni hatari sana Click to expand... Sahihi kabisa mkuu,nipo kwenye mchakato wa kuomba ruhusa.Si unaelewa Mabosi wa Kichina? Japo kuna madaktari humu JF wanatufaa sana.
Hussein Melkiory said: Nenda hospitalini mkuu haya mambo ya kumeza dawa bila ya kumuona daktari ni hatari sana Click to expand... Sahihi kabisa mkuu,nipo kwenye mchakato wa kuomba ruhusa.Si unaelewa Mabosi wa Kichina? Japo kuna madaktari humu JF wanatufaa sana.