Maumivu makali ya kiuno

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Wanabodi,nimepata maumivu makali ya kiuno juzi kuamkia jana,nimemez dawa ya maumivi,maumivu hayajaisha.
Msaada wenu nauhitaji
 
Nenda hospitalini mkuu haya mambo ya kumeza dawa bila ya kumuona daktari ni hatari sana
 
Nenda hospitalini mkuu haya mambo ya kumeza dawa bila ya kumuona daktari ni hatari sana
Sahihi kabisa mkuu,nipo kwenye mchakato wa kuomba ruhusa.Si unaelewa Mabosi wa Kichina?
Japo kuna madaktari humu JF wanatufaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…