Mdadamwema.
Senior Member
- Aug 7, 2014
- 156
- 173
Salaam wakuu,
Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa mbali. Nilienda hospitalini Dr akasema Sina maambukizi ya sikio wala Sina uvimbe ndani ya sikio akanipa Dawa tu ya maji ya kuweka nilipata naafuu kwa mbalii, Dawa imeisha tu tatizo limejirudia tena.
Shida inaweza kuwa ni nini wakuu? Na kama kuna Daktari wa masikio naombeni connection yake, niko dar.