Mdadamwema.
Senior Member
- Aug 7, 2014
- 156
- 173
Mkuu pole kwa kuumwa na maradhi ya masikio hebu nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa poleSalaam wakuu,
Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa mbali. Nilienda hospitalini Dr akasema Sina maambukizi ya sikio wala Sina uvimbe ndani ya sikio akanipa Dawa tu ya maji ya kuweka nilipata naafuu kwa mbalii, Dawa imeisha tu tatizo limejirudia tena.
Shida inaweza kuwa ni nini wakuu? Na kama kuna Daktari wa masikio naombeni connection yake, niko dar.
Pole sana mkuu,tafuta mafuta ya kuku yapashe kidogo yawe vugu vugu,tiririsha kiasi kwenye sikio lenye tatizo,kwa uwezo wa Mungu utapona ndani ya siku mbili tuu.Salaam wakuu,
Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa mbali. Nilienda hospitalini Dr akasema Sina maambukizi ya sikio wala Sina uvimbe ndani ya sikio akanipa Dawa tu ya maji ya kuweka nilipata naafuu kwa mbalii, Dawa imeisha tu tatizo limejirudia tena.
Shida inaweza kuwa ni nini wakuu? Na kama kuna Daktari wa masikio naombeni connection yake, niko dar.
Asante Mkuu kwa ushauri wako🙏Pole sana mkuu,tafuta mafuta ya kuku yapashe kidogo yawe vugu vugu,tiririsha kiasi kwenye sikio lenye tatizo,kwa uwezo wa Mungu utapona ndani ya siku mbili tuu.
Kuku ni yeyote,kienyeji au kisasa.
Shukrani MkuuUkikosa daktari,basi tumia hii ya asili,tafuta mchunga uponde kisha nyunyiza mchuzi wake masikioni ni uhakika yani ila usitie maji Wala chochote kwenye huo mchunga uliouponda.
Binafsi hili ndio liliniponya mpaka leo sijui maumivu ya masikio tenaNyunyiza mchuzi wa majani ya bhangi. Hutosikia tena.
Asante Mkuu, pakupata ndo ShidaNyunyiza mchuzi wa majani ya bhangi. Hutosikia tena.
Hongera kwa kupona Mkuu, nawewe ulikuwa unasikia kichwa kinauma na kizunguzung?Binafsi hili ndio liliniponya mpaka leo sijui maumivu ya masikio tena
.. japo pia mafuta ya kuku nilitumia
kuna muda utaanza kusikia kama kuna majiHongera kwa kupona Mkuu, nawewe ulikuwa unasikia kichwa kinauma na kizunguzung?
Tafuta boda msela msela, mueleze hitaji lako na amini atakusaidia(usinitaje)Asante Mkuu, pakupata ndo Shida
Kifupi masikio yanauma vibaya mno .. na yakiuma lazima usikie kichwa kinabamiza mana ni maumivu makali mno... Kichwa kikiuma mana kinavuta lazma kizunguzunguHongera kwa kupona Mkuu, nawewe ulikuwa unasikia kichwa kinauma na kizunguzung?