Jamani wana JF, napata maumivu makali sana na sijui nini tatizo
1: maumivu ya tumbo la juu kama mtu amemwagia maji moto, kuunguruma, na linauma zaidi pale ninapokuwa na hofu ya kitu Fulani
2: maumivu ya mishipa ya macho na kichwa
3: maumivu misuli ya shingoni na mikononi hasa wakati wa jioni
4: Napata choo kidogo na kigumu rangi ya ugoro tena mara chache wakati mwingine mara 1 kwa siku
Naomba msaada kwa anayejua tatizo
Ahsanteni