Naomba ushauri wa kimatibabu. Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu mwili mzima(burning pains) kwa muda miaka mitatu sasa. Nimetibiwa sana bila mafanikio na maumivu yanazidi sambaa kwani yalianzia miguuni na yanapanda mpaka mgongoni na mikononi. Kwa waganga pia nimeenda na sijapona. Help me please.