Maumivu mwili mzima.

Degelingi

Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
42
Reaction score
0
Naomba ushauri wa kimatibabu. Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu mwili mzima(burning pains) kwa muda miaka mitatu sasa. Nimetibiwa sana bila mafanikio na maumivu yanazidi sambaa kwani yalianzia miguuni na yanapanda mpaka mgongoni na mikononi. Kwa waganga pia nimeenda na sijapona. Help me please.
 
hiyo burning pain ipo kwenye joints pekee za mwili mzima!..?!!! kama ni kwenye joints pekeee then could be Aging "wazeeka" ama arthritis "sijui kiswahili chake" kama ni mwili mzima na si joints basi my diagnosis wont suit you

pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…