Maumivu ndani ya mguu kila baada ya kunywa pombe nyingi jana yake

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Waslaamu wadau wa afya,

Nimekuwa mtumiaji mzuri wa beers kwa muda sasa, lakini siku za karibuni nikinywa beers nyingi jioni ya leo basi kesho yake ahsubuhi huamka na hangover na wakati mwingine husikia maumivu ya ndani ya mfupa wa mguu wa kushoto yaani eneo la chini Kati ya goti na eneo la unyayo.

Je wenye uzoefu hii ya weza kuwa dalili gani au Ugonjwa gani?

Ahsanteni.
 
Sidhani kama ni ugonjwa mkuu...Labda madhara ya bia hayo..huwa ni ya muda
 
Mkuu sasa si uache tu hizo pombe!Mbona unapata mate so hivyo?
 
Hiyo itakuwa gout ambayo inasababishwa na uric acid kuwa juu. Nenda hospital kafanye uric acid test.
 
Hiyo itakuwa gout ambayo inasababishwa na uric acid kuwa juu. Nenda hospital kafanye uric acid test.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…