Maumivu pembeni yatumbo.

Maumivu pembeni yatumbo.

bebiwilli

Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
70
Reaction score
16
Habari zenu.,Naombeni kujua,maumivu pembeni ya tumbo upande wa kulia,yanasababishwa na nin?je hii ni dalili ya appendex?,
 
Pole sana sasa wewe badala ya kwenda hospitali ili wakupime wakupe dawa usipopona ndio uje hapa wewe unakuja hapa kutaka ushauri wa watu pasipo na vipimo? nenda kwa madaktari wakupime ili wajuwe una nini kwenye tumbo lako Mkuu bebiwilli
 
Last edited by a moderator:
Nimeuliza kwa sababu sehem nilipo hakuna hospital nzur,mpaka nirud twn,so 4the moment nilikuwa nahitaj kujua,cz hapa c ni jf doctors au?

Mara nyingi kama si maumivu makali sana kwa mwanamke huwa ni kusafiri kwa yai na mimi huwa inatokea mara nyingi
 
dada andika details sifuatazo.

linauma wakati gani, wakati wote au kuna kipindi?

lina muda gani lina uma?

unasikia kitu kama uvimbe

umri wako?

una watoto au?

unatumia au ushawai kutumia dawa dawa za uzazi wa mpango

ulishawi kufanyiwa upasuaji au kusafishwa kizazi?
 
Back
Top Bottom