Hiyo Audio yake si ilishatokaga taang January mkuu?.video ndo katoa kama zawadi ya Birthday...Maumivu per day sio official release mkuu
hii nyimbo kiba karekodi kitambo sana nliskia first time 2013 kwenye cm ya mshkaji wake ..Hiyo Audio yake si ilishatokaga taang January mkuu?.video ndo katoa kama zawadi ya Birthday...
Ni kweli. Hata YouTube wamesema sio official!Maumivu per day japo sio rasmi lakini iko poa
Ally kiba hajatoa wimbo bado huo ilikiwa asante ya kuzaliwa
Kwa hiyo katoa nini kama siyo wimbo?Maumivu per day japo sio rasmi lakini iko poa
Ally kiba hajatoa wimbo bado huo ilikiwa asante ya kuzaliwa
TialKwani Waka imeshatoka tayar?