Maumivu sehemu ya chuchu

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habari wana JF.
Naombeni mnisaidie kubaini tatizo nililo nalo. Nimeamka asubuhi nikigusa chuchu yangu ya kushoto nahisi maumivu na kama dalili ya uvimbe.
Je inaweza ikawa dalili ya ugonjwa gani na tiba zake kwa mwenye kufahamu.
Ahsanteni.
 
Pima na mimba mkuu...!
 
Hata kma ni wa kiume unahuwezekano wa kupata tumor au cancer,tumor not necessary cancer ni uvimbe tu
 
Habari wana JF.
Naombeni mnisaidie kubaini tatizo nililo nalo. Nimeamka asubuhi nikigusa chuchu yangu ya kushoto nahisi maumivu na kama dalili ya uvimbe.
Je inaweza ikawa dalili ya ugonjwa gani na tiba zake kwa mwenye kufahamu.
Ahsanteni.

wahi hospitali mapema CCBRT
 
kama upo kwenye umri wa kubalehe hiyo ni kawaida wala usiogope... vumilia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…