Maumivu sehemu ya mkono

no man

New Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Habari wakuu!

Nimechangia damu katika hospital moja hapa jijini,lakini ji takribani wiki sasa mkono bado unauma,msaada tafadhali kwa anaejua sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…