Maumivu sehemu za siri

Maumivu sehemu za siri

miss strong

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
7,012
Reaction score
3,700
Wana JF naomba mnisaidie kwani nna tatizo ambalo kuna wakati sehemu za siri kunavuta na kiuno kinashika kiasi ikitokea hiyo najikunja na kutembea kama kikongwe.Inatokeaga ghafla,Sijazaa bado. Nilimuhadithia mtu akaniambia yaweza kuwa kizazi.

Naomba mawazo.
 
Back
Top Bottom