maumivu sugu ya mizambwa yanasababishwa na nini?..............

Nigusie kidogo maana ya mizambwa kwa kiengeleza nikupe kisababishi ,medical and self management
 
Hivi humu jf hakuna mtu anaitwa Mizambwa kweli?
(user name).

Mimi ndiye ninaitwa MIZAMBWA;

Hili ni jina langu kabisa, sasa sipati picha kuhusu hayo maumivu yanayoitwa "Mizambwa" tena. Naomba tuelimishane vinginevyo nafikiria kubadilisha jina sijui nitaweza kwani nilipewa na wazazi wangu.




MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 

hapo penye red ndipo paliponifanya kuuliza swali hili.................... sasa tuambie mizambwa ni kiungo gani cha mwili................. na kinachofanya mizambwa yako ikuume kila siku ni nini................. huendwa ukapata hapa tiba yake..............
 
mizambwa ndio nini mleta maada eleza kwa undani zaidi tunashindwa kuchangia maana hatujui
 
hii haikutakiwa kuwa JF doctor ... usirudie tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…