Maumivu upande wa kulia wa ovary

Maumivu upande wa kulia wa ovary

vijora

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
43
Reaction score
30
Habari waanajamvi mdogo wangu wa kike (23) anasumbuliwa na maumivu upande wa kulia wa ovary ,na anableed mnoo na kubleed huko sio katika zile siku zake za hedhi baada ya kufanyiwa ultra sound(pichani).

Wakasema ana uvimbe(ovarian cyst) lakini dokta hakuandika dawa alichofanya ni kuchukua maelezo ya ultra sound na kuhamishia katika karatasi ambayo ilitakiwa aandike dawa na nikienda duka la madawa wanashindwa kuniuzia dawa ambayo itatibu hili tatizo narudi kwenu wadau baada ya kuangalia hayo maelezo ya daktar(pichan)mnanishauri atumie dawa gani?
663d90c121c73410d6e8495005c3ffb9.jpg
 
Kwa huelewa wangu mdgo nilionao najua simple ovarian cysts huwaga ni normal hazitibiwi na dawa mana zinatokeaga na kupotea zenyewe after one or two menstrual periods ndo mana hakukupa dawa but kama tumbo bado linamuuma nenda kaonane na madaktari wa akina mama atakushauri zaidi
 
shukran ndugu
 
Huyo daktari hakukupa ushauri wowote baada ya kukupa majibu mmh kazi ipo,mimi nakushauri aende kwa gynaecologist mwingine ili upate matibabu na ushauri mwafaka
 
  • Thanks
Reactions: THT
Maumivu upande wa kulia, lkn cyst iko upande wa kushoto. Pia majibu ya ultrasound uliyoupload yanaonyesha kuna uvimbe kwenye mfuko wa kizazi (myoma). Nafikiri hamkumpata msaada wa kutosha juu ya tatizo, muhimu kurudi hospitali
 
ndo natarajia msaada kutoka hapa mkuu
 
Huyo daktari hakukupa ushauri wowote baada ya kukupa majibu mmh kazi ipo,mimi nakushauri aende kwa gynaecologist mwingine ili upate matibabu na ushauri mwafaka
nkaona nianzie hapa mdau ila nashkuru
 
Back
Top Bottom