vijora
Member
- Sep 29, 2017
- 43
- 30
Habari waanajamvi mdogo wangu wa kike (23) anasumbuliwa na maumivu upande wa kulia wa ovary ,na anableed mnoo na kubleed huko sio katika zile siku zake za hedhi baada ya kufanyiwa ultra sound(pichani).
Wakasema ana uvimbe(ovarian cyst) lakini dokta hakuandika dawa alichofanya ni kuchukua maelezo ya ultra sound na kuhamishia katika karatasi ambayo ilitakiwa aandike dawa na nikienda duka la madawa wanashindwa kuniuzia dawa ambayo itatibu hili tatizo narudi kwenu wadau baada ya kuangalia hayo maelezo ya daktar(pichan)mnanishauri atumie dawa gani?