Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
Vidonda vya tumbo hivyo mpaka kesho utakuwa unaumia mgomgoni upande wa bega kupanda juu. Au nadanganya huna vidonda vya tumbo?
 
Nili comment kwa hapo juu nikakueleza ni kidney stones come PM urgently
 
Back
Top Bottom