aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Mar 18, 2016 #1 wadau na rafiki yangu leo asubuh ameamka anadai maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa chini lakini akipabonyeza hapaumi hata lakini anasikia kama kichomi cha ndani je ni apendix? maana anakosa mpaka raha
wadau na rafiki yangu leo asubuh ameamka anadai maumivu upande wa kushoto wa tumbo kwa chini lakini akipabonyeza hapaumi hata lakini anasikia kama kichomi cha ndani je ni apendix? maana anakosa mpaka raha
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Mar 18, 2016 Thread starter #2 wadau msaada