Maumivu Upande wa kushoto wa kifua kwa ndani

Maumivu Upande wa kushoto wa kifua kwa ndani

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
668
Reaction score
158
JF Doctor,nina maumivu ndani ya kifua upande wa kushoto chini kidogo ya ziwa. Tatizo laweza kuwa nn?
 
heart attack. kapime. ila kama unakunywa pombe punguza anza kuwa unakunywa sana maji na asali kijiko kila unywapo chai.zoezi kimtindo. check the doctor si tatizo kubwa.
mia.
 
Back
Top Bottom