Mponjoli JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 668 Reaction score 158 May 5, 2013 #1 JF Doctor,nina maumivu ndani ya kifua upande wa kushoto chini kidogo ya ziwa. Tatizo laweza kuwa nn?
mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,970 May 8, 2013 #2 Check presha
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 713 May 8, 2013 #3 heart attack. kapime. ila kama unakunywa pombe punguza anza kuwa unakunywa sana maji na asali kijiko kila unywapo chai.zoezi kimtindo. check the doctor si tatizo kubwa. mia.
heart attack. kapime. ila kama unakunywa pombe punguza anza kuwa unakunywa sana maji na asali kijiko kila unywapo chai.zoezi kimtindo. check the doctor si tatizo kubwa. mia.