chuse da silva
Member
- Nov 27, 2013
- 35
- 15
kama mkuu alivyoelezea hapa.. hiyo itakuwa ni U.T.I na siyo kingine..Huenda ni matatizo ya U.T.I...nenda kituo cha afya kwa msaada zaidi
UTI ni kifupi cha Urinal Tract Infection. Ni ugonjwa unaoadhiri njia ya mkojo. Na sio njia ya haja kubwa.Huenda ni matatizo ya U.T.I...nenda kituo cha afya kwa msaada zaidi
Je haja ni kavu? Kama ni kavu sana lazima utapata maumivu wakati wa haja. Kitaalamu wanaita constipation (haja kavu). Labda ueleze vizuri hayo maumivu kwa msaada zaidi
UTI ni kifupi cha Urinal Tract Infection. Ni ugonjwa unaoadhiri njia ya mkojo. Na sio njia ya haja kubwa.kama mkuu alivyoelezea hapa.. hiyo itakuwa ni U.T.I na siyo kingine..
[emoji118] Na ww piaUlale sasa ndugu. Ni usiku sana unajua?
Lol
[emoji118] Na ww pia
Hata mharo mzito. Hapo nimeongelea kiasi cha maji kwenye haja.Mie mlinzi. Hapa kumekucha ndio kwanza nashtua na kiporo cha pilau.
(Haja ndogo haiwezi kuwa kavu, labda useme nzito bwana. Lala tu)
Hata mharo mzito. Hapo nimeongelea kiasi cha maji kwenye haja.
Wewe jipu. Unachat lindoni? Nategemea kusikia umevamiwa leo