youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Hapa nilipo nakisikia maumivu wakati wakukojoa ,,na wakati mwingine mkojo ukitoka unakuwa umechanganyika na damu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Nenda kwa Dr. Lakini yawezekana kabisa una UTI au Urethral stricture.
ukimwi huo dogo. pole sana
Wahi hospital kijanaHapa nilipo nakisikia maumivu wakati wakukojoa ,,na wakati mwingine mkojo ukitoka unakuwa umechanganyika na damu .
Pole, nenda kapime
Lakini hii si news alert!
Yaonyesha una maambuzi ya ugonjwa wa zinaa, tena gonorea, ikiwa Unabisha nenda kapime....
Sawa kaka
nenda hospital wakupime VDRL na urine....! ila usije kukimbia sindano!
hukumu yake benzathine penicillin 10cc, each "batak" 5cc utasimulia mdundo wake
Umekosa njumu za kuvaa? Vp ucheze mechi peku?,nenda pale karume kuna Adidas,Nike,Puma tena bei nafuu sana,..haya nenda kapime Gono haraka...