Wizzo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 723 Reaction score 256 Sep 6, 2011 #1 jamani kunajaa anaomba msaada wenu anadai kua kila anapokwenda haja kubwa anasikia maumivu na wakati mwingine hadi damu inamtoka.tatizo inaweza kua ni nini? nawasilisha
jamani kunajaa anaomba msaada wenu anadai kua kila anapokwenda haja kubwa anasikia maumivu na wakati mwingine hadi damu inamtoka.tatizo inaweza kua ni nini? nawasilisha
N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 Sep 6, 2011 #2 Haemorroids!! Nenda kwa daktari lakini usiogope, akakukague huko Masaburini.