au nadanganya?
Mbona ghaflaMa single maza on air once again yooooh
Uliza mtoa mada uyoMbona ghafla
πUliza mtoa mada uyo
ππΎββοΈπ
Maumivu makali ni yale ya nayo kufanya ushindwe kuishi uhalisia wako.
Pole mkuu, wameku singo-mazisha?ukute we mwenyewe umelelewa na baba wa mwenzio
duh, hapana hata lakini sipendi tu hizi mambo, wanaume wengi wamelelewa na mama tu leo ameshajua kuvua chupi za watoto wa watu anazarau singo mazaPole mkuu, wameku singo-mazisha?