SON2016 Member Joined Jan 3, 2016 Posts 64 Reaction score 37 Nov 14, 2016 #1 Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino kulia chini. Msaada Dr. yani maumivi yameanza ghafla nikiangalia sioni jino lililo pekechwa ila kuna moja naona lina mstari mweusi katikati.
Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino kulia chini. Msaada Dr. yani maumivi yameanza ghafla nikiangalia sioni jino lililo pekechwa ila kuna moja naona lina mstari mweusi katikati.