wakuu kuna mada inayo sumbua vichwa vya wengi sana sana wazee wetu ambao hawaja ionja ladha ya skull.
Kwa upande wangu nimeamua kuingia jf kuutafuta ukweli.
Ivi maumivu ya jino yanasababishwa na mdudu au mabakibaki ya chakula yanayosababisha kuwe na utando flani kwenye jino na kusababisha jino kuuma.Sanasana vyakula vya sukari .