Maumivu ya jino.

dtf

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
121
Reaction score
12
Wana jf naomba ushaur wenu.ninasumbuliwa na maumivu ya jino.limetoboka hvyo natakiwa nikajaze risasi.vp inauma kujaza risasi?oa itanichukua muda gan kupona.asanten wakuu
 
kajazwe risasi halafu uje utupe majibu imechukua muda gani kupona..nyambafu!
 
Wana jf naomba ushaur wenu.ninasumbuliwa na maumivu ya jino.limetoboka hvyo natakiwa nikajaze risasi.vp inauma kujaza risasi?oa itanichukua muda gan kupona.asanten wakuu

Utapigwa sindano ya ganzikisha wataliziba. Utatakiwa usile wala kunywa kitu kwa masaa kadhaa. It is a one day business na maumivu yataisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…